Uinuliwe Yesu Lyrics by Pastor Epa

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema
Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema

Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema

Eeh Bwana katika miungu yote
Ni nani aliye kama wewe
Mtukufu katika utakatifu
Mwenye Kuogopwa katika sifa

Uliyevuma kwa upepo wako
Bahari ikafunikiza adui
Wakazama kama risasi
Risasi ndani ya maji makuu

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema

Wowowowo!
Wowo!
Wowo!
Wowo!

2 thoughts on “Uinuliwe Yesu Lyrics by Pastor Epa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What's New