Mlima Sayuni Lyrics by Dr Ipyana


Mlima Sayuni / Milima Yayeyuka

by Dr Ipyna

Verse 1

Na mmiliki anga, jua mwezi na nyota,
Mkono wako umevifanya,
Pumzi yako imevifanya,
 
Tumekuja mlima Sayuni,
Kukusifu, Kukuabudu,
Maserafi, Makerubi,
Twaungana nao

Verse 2

Unatunza maagano,
Huna mwanzo, Huna mwisho,
Neno Lako ni hakika,
Wala halina ukomo.

Tumekuja mlima Sayuni,
Kukusifu, Kukuabudu,
Maserafi, Makerubi,
Twaungana nao (x2)

Chorus

Repeat 4 times

Milima yayeyuka mbele zako,
Nani kama Wewe Mungu wetu

Bridge

Repeat 3 times

Nani kama Wewe Bwana,
Nani kama Wewe

Verse 3

Milima yayeyuka, mbele zako,
Nani kama wewe Mungu wetu
Magonjwa yayeyuka, mbele zako,
Nani kama wewe Mungu wetu

Chorus

Repeat 2 times

Milima yayeyuka mbele zako,
Nani kama wewe Mungu wetu

Bridge

Repeat 2 times

Nani kama Wewe Bwana,
Nani kama Wewe

Verse 4

Madeni yayeyuka mbele zako,
Nani kama wewe Mungu wetu
Kansa yayeyuka mbele zako,
Nani kama wewe Mungu wetu
Kisukari chayeyuka mbele Zako,
Nani kama wewe Mungu wetu
Ukimwi wayeyuka mbele zako,
Nani kama wewe Mungu wetu

Bridge (Outro)

Repeat 2 times

Nani kama Wewe Bwana
Nani kama wewe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What's New