Ni Yesu by Patrick Kubuya Lyrics


Ni Yesu

by Patrick Kubuya

Furaha tunaimba siku ya leo
Tumepewa Ushindi
Nguvu Zetu si za damu wala nyama
Tumepewa na roho *2

Kweli bwana ni upande wetu
Hatuna haja ya kuogopa kitu chote
Hata shida ziinuke tele
Hatuna haja ya kuogopa kitu chote *2

Furaha tunaimba siku ya leo
Tumepewa Ushindi
Nguvu zetu si za damu wala nyama
Tumepewa na roho*2

Kweli bwana ni upande wetu
Hatuna haja ya kuogopa kitu chote
Hata shida ziinuke tele
Hatuna haja kuogopa kitu chote *2

Tuna yule aliyeshinda giza na uwezo wake
Uko upande wetu tuna nguvu juu ya mambo yote *2

Anashughulika nasi
Anatupa nguvu ndiye anakesha kwetu
Anayechanga maadui zetu
Ni yesuuu
Ni yesuuu
Ni yesuuu
Anayetupenda Ni yesuu
Anayetujali Ni yesuu
Anayetutunza  Ni yesuu
Anatupa Nguvu Ni yesuuu
Ni nani ule  Ni yesuu
Ni nani ule Ni Yesuu
Ni nani ule Ni yesuu
Mfariji wetu Ni yesuu
Kimbilio letu Ni yesuu
Tegemeo letu Ni Yesuu
Baba yetuu eeh Ni yesuu
Baba Yetu eeh Ni yesuu
Baba yangu eeh Ni yesuu
Ni yesuuu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What's New