Msalabani
by Neema Gospel Choir
Verse 1
Repeat 2 times
Wapatikana ukombozi
Ni kazi ya thamani yake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi
Chorus
Repeat 2 times
Wapatikana ukombozi
Ni kazi ya thamani yake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi)
Bridge
Repeat 2 times
Amelipa yote Bwana hatuna deni
Ni kazi ya thamani yake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi
Verse 2
Repeat 2 times
Huruma nyingi na fadhili kwetu
Ni sifa za thamani zake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi
Bridge
Repeat 3 times
Amelipa yote Bwana hatuna deni
Ni kazi ya thamani yake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi
Repeat 2 times
Msalabani pa Mwokozi
Repeat 2 times
Msalabani pa Mwokozi