Msalabani Lyrics by Neema Gospel Choir


Msalabani

by Neema Gospel Choir

Verse 1

Repeat 2 times

Msalabani pa Mwokozi
Wapatikana ukombozi
Ni kazi ya thamani yake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi

Chorus

Repeat 2 times

Msalabani pa Mwokozi
Wapatikana ukombozi
Ni kazi ya thamani yake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi)

Bridge

Repeat 2 times

Tumesamehewa dhambi hatuna deni
Amelipa yote Bwana hatuna deni
Ni kazi ya thamani yake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi

Verse 2

Repeat 2 times

Unyenyekevu uvumilivu na upendo
Huruma nyingi na fadhili kwetu
Ni sifa za thamani zake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi

Bridge

Repeat 3 times

Tumesamehewa dhambi hatuna deni
Amelipa yote Bwana hatuna deni
Ni kazi ya thamani yake Yesu (Ooooo)
Msalabani pa Mwokozi

Repeat 2 times

Ni kazi ya thamani yake Yesu (ooooo)
Msalabani pa Mwokozi

Repeat 2 times

Ni kazi ya thamani yake Yesu (ooooo)
Msalabani pa Mwokozi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What's New