Uinuliwe (Pambio)
Eunice Njeri
Verse 1
Uinuliwe umetenda mema (x4)
Upewe sifa Bwana wa mabwana
Upewe sifa umetenda mema
Uinuliwe Bwana wa mabwana
Uinuliwe umetenda mema
Bridge
Repeat 6 times
Verse 2
(Shangwe Hallelujah shangwe kwa Yesu hallelujah)
Shangwe Hallelujah shangwe kwa Yesu hallelujah
(Shangwe Hallelujah shangwe kwa Yesu hallelujah)
Shangwe Hallelujah shangwe kwa Baba hallelujah
(Shangwe Hallelujah shangwe kwa Yesu hallelujah)
Bridge
Repeat 7 times
Verse
(Shangwe Hallelujah shangwe kwa Yesu hallelujah)
Shangwe Hallelujah shangwe kwa Yesu hallelujah
(Shangwe Hallelujah shangwe kwa Yesu hallelujah) (x4)
Bridge
Repeat 8 times
Bridge
Kama unapenda Yesu ruka kidogo (kidogo)
Kama unapenda Yesu sema Hallelujah (Hallelujah)
Hallelujah (Hallelujah)
Bwana Yesu Anameremeta (Anameremeta)
Tumebadilishwa twafanana naye (Tumebadilishwa twafanana naye)
Bwana Yesu Anameremeta (Anameremeta)
Imba imba imba (imba)
Cheza cheza cheza (cheza)
Imba imba imba (imba)
Ruka ruka ruka (ruka)