Verse 1 Jesus you are the atmosphere, Saturating Heaven Jesus you are the atmosphere, Saturate and fill this place Wewe ndiwe anga, Anga ya mbinguni Wewe ndiwe anga, Anga natamani Verse 2 Jesus you are the atmosphere, Saturating Heaven Jesus you are the atmosphere, Saturate and fill this place Wewe ndiwe anga, Anga natamani Wewe ndiwe anga, Anga ya mbinguni Chorus (Choir) We’re singing majesty Be lifted High Oh Abba Father Be Lifted High What a wonder A wonder you are (x2) Verse 3 (Choir) Jesus you are the atmosphere, Saturating Heaven Jesus you are the atmosphere, Saturate and fill this place Wewe ndiwe anga, Anga ya mbinguni Wewe ndiwe anga Anga natamani Chorus (Choir) We’re singing majesty Be lifted High Oh Abba Father Be Lifted High What a wonder A wonder you are (x2) Chorus (repeat) We’re singing majesty Be lifted High Oh Abba Father Be Lifted High What a wonder A wonder you are (x2) Chorus (repeat) We’re singing majesty Be lifted High Oh Abba Father Be Lifted High What a wonder A wonder you are (x2) Prayer and Instrumental Verse 2 (Declarations) Wewe ndiwe anga (Anga natamani) Wewe ndiwe anga Yesu (Anga Natamani) Shuka na uwepo wako Yesu (Anga natamani) Ukija tunapona Mfalme (Anga Natamani) Ukija na anga yako watu waokoka mfalme (Anga Natamani) Shuka na utende, Shuka na baraka (Anga Natamani) Ukisema hakuna wa kukupinga mfalme (Anga Natamani) Anga ya ushindi mfalme (Anga Natamani) Anga ya Ukombozi (Anga Natamani) Shuka Roho wa Bwana (Anga Natamani) Shuka na Utende (x3) (Anga Natamani) Shuka na Baraka, Shuka na uponyaji, Shuka na uponyaji Baba (Anga Natamani) Ukishuka, tunapona, twakombolewa, Halleluya (Anga Natamani) Yako Mfalme wa Wafalme (Anga Natamani) Ukiingia, Nani akupinge mfalme (Anga Natamani) Hakuna linalo kuzuia kutenda Mfalme (Anga Natamani)
Quick Love Messages for your love today
In Love? Here are few nuggets and pointers to brighten and ignite the love to your partner.