Asante
by Evelyn Wanjiru
Chorus
Asante Yesu, Asante Yesu
Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako
Pokea Sifa, Pokea Sifa
Pokea Sifa, Pokea Sifa
Ninakupenda, Ninakupenda
Ninakupenda, Ninakupenda
Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako
Pokea Sifa, Pokea Sifa
Pokea Sifa, Pokea Sifa
Verse 1
Ametimiza ahadi yake ndani yangu
Na sasa mimi nashuhudia
(Ya kwamba) Mungu wangu mwaminifu
(Ya kwamba) Mungu wangu anajibu
Ya kwamba Mungu wangu anaweza
Chorus
Asante Yesu, Asante Yesu
Ninakupenda, Ninakupenda
Ninakupenda, Ninakupenda
Umwaminifu, Umwaminifu
Umwaminifu, Umwaminifu
Asante Yesu, Asante Yesu,
Asante Yesu, Asante Yesu
Verse 2
Utafutapo utaona
Sikio lake sio nzito
Kusikia ombi lako
Atajibu
Furahia ndani ya Yesu
Ameleta ushuhuda
Furahia ndani ya Yesu
Mpe ibada yako
Outro
Asante Yesu, Asante Yesu, Asante Yesu
(Naimba kwa sababu, mimi ni testimony)
Umwaminifu, Umwaminifu, Umwaminifu
(I testify testify testify testify)
(He changed my story, now I’m called Mama Mama Mama)
Umwaminifu, Umwaminifu, Umwaminifu
(Wacha niimbe, wacha nisifu)
Asante Yesu, Asante Yesu, Asante Yesu
(Naimba sifa za shukrani)
For the vision is yet for an appointed time, but at the end it shall speak, and not lie: though it tarry, wait for it; because it will surely come, it will not tarry.
Habakkuk 2:3 (KJV)