Wewe Mungu wa ajabu,
Unafanya Maajabu
Pale ninaposhindwa
Unafanya Mwenyewe [Repeat]
Zaidi ya fahamu zangu
Zaidi ya mawazo yangu
Zaidi ya akili yangu
Zaidi ya upeo wangu [Repeat}
Uko Mwenyewe
Uko Mwenyewe
Hakuna wa mfano wako Bwana
Uko mwenyewe. [Repeat]
Tazama naenda mbele, wala Hakuna
Narudi nyuma tena,
Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]
(Kama wewe, Kama wewe)
Wala hakuna
(Kama wewe, Kama wewe)
Lakini siwezi kumwona kama wewe. [Repeat]
Tazama naenda mbele, wala Hakuna
Narudi nyuma tena,
Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]
Wa mfano wako
Wa uweza wako
Wa mfano wako
Wa uweza wako. [Repeat]
Tazama naenda mbele, wala Hakuna
Narudi nyuma tena,
Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]