Uliye Hai
by Marion Shako
Verse 1
Nashuka mbele zako, Miguuni pako,
Nazileta heshima na sifa
Mila yangu, Nia Yangu Yesu
Kukuabudu We uliye hai
Kukuabudu uliye Hai
Nazileta heshima na sifa
Mila yangu, Nia Yangu Yesu
Kukuabudu We uliye hai
Kukuabudu uliye Hai
Chorus
Sitaabudu miungu mingine
Nakuabudu uliye hai (x2)
Uliye hai, hai
Nakuabudu uliye hai (x2)
Nakuabudu uliye hai (x2)
Uliye hai, hai
Nakuabudu uliye hai (x2)
Verse 2
Mtakatifu, mtakatifu
Sifa utukufu uketiye enzini
Sifa utukufu ni zako
Wastahili wastahili
Sifa utukufu uketiye enzini
Sifa utukufu ni zako
Sifa utukufu uketiye enzini
Sifa utukufu ni zako
Wastahili wastahili
Sifa utukufu uketiye enzini
Sifa utukufu ni zako
Chorus
Repeat 2 times
Sitaabudu miungu mingine
Nakuabudu uliye hai (x2)
Uliye hai, hai
Nakuabudu uliye hai (x2)
Nakuabudu uliye hai (x2)
Uliye hai, hai
Nakuabudu uliye hai (x2)
Repeats
Sitaabudu miungu mingine
Nakuabudu uliye hai (x2)
Uliye hai, hai
Nakuabudu uliye hai
Uliye hai, hai
Uliye hai, hai
Nakuabudu uliye hai (x2)
Sitaabudu miungu mingine
Nakuabudu uliye hai (x2)
Nakuabudu uliye hai (x2)
Uliye hai, hai
Nakuabudu uliye hai
Uliye hai, hai
Uliye hai, hai
Nakuabudu uliye hai (x2)
Sitaabudu miungu mingine
Nakuabudu uliye hai (x2)