Ndio
by Rehema Simfukwe
Chorus
Repeat 4 times
Baba amesema ndio
Nani akatae
Ameamua nani apinge
Baba amesema ndio
Nani akatae
Verse 1
Sina mashaka na yeye
Kifo chake msalabani
Kilimaliza yote (x2)
(Ooooo)
Alilosema atalifanya
Tumemwamini kwa mambo mengi
(Oooo)
Baba amesema ndio
Nani akatae
Chorus
Repeat 2 times
Baba amesema ndio
Nani akatae
Ameamua nani apinge
Baba amesema ndio
Nani akatae
Bridge
Repeat 4 times
Akishasema amesema
Baba amesema ndio
Nani akatae
Instrumentals…
Repeat 4 times
Akishasema amesema
Baba amesema ndio
Nani akatae