Nanyenyekea by Evelyn Wanjiru Lyrics (Reggae Version)


Nanyenyekea by Evelyn Wanjiru

Evelyn Wanjiru

Nanyenyekea Baba utukuke
Nanyenyekea Baba utukuke
(Wastahili Ibada yangu
Wastahili heshima yangu) x2

Pako patakatifu Baba
Napakaribia na moyo wenye Ibada
Navunjika mbele zako nikikiri
Wewe ni mtakatifu
Mungu usiye na mfano
(Niataimba sifa zako) Nisimulie makuu yako (x2)

Nanyenyekea Baba utukuke
Nanyenyekea Baba utukuke
(Wastahili Ibada yangu
Wastahili heshima yangu) x2

Wastahili Baba, Kupokea Utukufu
Heshima na Mamlaka, Ni zako ewe Baba
Wastahili Baba, Kupokea Utukufu
Heshima na Mamlaka, Ni zako ewe Baba

Nanyenyekea Baba utukuke
Nanyenyekea Baba utukuke
(Wastahili Ibada yangu
Wastahili heshima yangu) x2

Nanyenyekea Utukuke (x9)

Nanyenyekea utukuke utukuke eeh (x9)

Nanyenyekea Utukuke (x10)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What's New