Mungu wa Ajabu by Christopher Mwahangila Lyrics


Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu (x3)

Naimba Mungu wa Ajabu
Ajabu
Huyu Mungu Wa Mbinguni
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu

Amenipenda Na Mimi
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
ameniinua Na Mimi
Ajabu (x3)

Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu (x3)

Kweli Mungu wa Ajabu
Jamani Mungu Wa Ajabu
Naimba Mungu Wa Ajabu
Nasema Mungu Wa Ajabu

Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu (x2)

Anawainua Wanyonge Kutoka Chini
Anawaketisha Pamoja Na Wakuu
Waliokuwa Mkia Anawafanya Kuwa Vichwa
Kweli Mungu wa Ajabu,Ajabu sana

Wema Wake Hauozi Wafananishwa
Na Kisima,Kisichokauka Milele Yote
Uzuri Wake Hauishi Ni wa Milele Yote
Haufananiswhi Na Kitu Chochote 

Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu (x2)

Naimba Mungu wa Ajabu
Ajabu 
Huyu Mungu Wa Mbinguni
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu 

Amenipenda Na Mimi 
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
ameniinua Na Mimi
Ajabu (x3)

Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu (x3) 

Anasema Alinijua Kabla Sijakuwepo Mimi 
Alinichagua Kutoka Tumboni Mwa Mama 
Anasema Alinijua Kabla Sijakuwepo Mimi 
Alinichagua Kutoka Tumboni Mwa Mama 

Nimechaguliwa Kuwa Nabii Wa Mataifa  (x2)
Nimechaguliwa Na Mungu (x3)
Kanipa Kibali
Nimechaguliwa Na Mungu (x3)
Mungu Wa Ajabu

Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu (x3)

Naimba Mungu wa Ajabu
Ajabu 
Huyu Mungu Wa Mbinguni
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu 
Amenipenda Na Mimi 
Ajabu (x3)

Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenichagua
Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenipokea
Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenisiliza
Hivi Kama Sio Mungu Ni Nani Angenitazama

Amenisaidia Mungu 
Amenisaidia Yesu
Amenisaidia Kwa Huruma Zake
Amenisaidia Mungu 
Amenisaidia Yesu
Amenisaidia Kwa Neema Yake

Jamani Mungu Wa Ajabu
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu (x3)

Naimba Mungu wa Ajabu
Ajabu 
Huyu Mungu Wa Mbinguni
Ajabu 
Mungu Wa Ajabu
Ajabu 

Amenipenda Na Mimi 
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
ameniinua Na Mimi
Ajabu (x3)

Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu
Mungu Wa Ajabu
Ajabu (x3)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

What's New